Social & Corporate Events | Documentaries | TV Programs & Movies | Music Videos | Family Portrait

Friday, January 4, 2013

KILLIAN NANGO ALIPOTWAA JIKO

Kwa Unyenyekevu kijana wangu Killian akijiandaa kula kiapo

Akisindikizwa na Mdogo wangu Alex na Hellen

Hatimaye sasa ni Mr and Mrs Killian Nango...Hongera sana!

Familia Bora

Tabasamu na bashasha


Familia bora

Ladies with Class

Msafara Kamili

Uangalizi wa Malikia

Gentlemen with swagg


Best shot...kama anasema Ukapera kwaheri


Mchumu...mwaaaa



Brothers...

Familia takatifu...Hongera Happy

Best Shot....ni kama anasema Useja bhaaaaaaaassssss!

No comments:

Post a Comment