Managing Director Ndugu Sunil Colaso nae hakubaki nyuma
Wadau wa Kitambi Noma Basketball Team wakijiandaa kufanya yao
Gahawa kidogo
Watoto wa MD Rekha na Malaika nao walijumuika na wana Airtel kufuturu
Mami Tunnu,Lulu Mashiba na Lulu Mduma wakifungulia baada ya swaumu kali
FIFO na LIFO hapo kazi ipo
Aneth YATOSHA Muga(kulia) akiwa na Ustadhat Upendo Nkini
Wapi Airtel Money Team
Airtel Money kweli Yatosha manaake Ma-ustaadh wako bize kufuturu
Kwenye kula hakuna kujivunga
Naam Mkurugenzi Mtendaji akionyesha Utendaji kwa vitendo@Misosi Mode activated
Anchilla,Pauline na Aika
Mkurugenzi wa IT Franky Filman aki-configure IP na Proxy ya tumbo
Mdogo wangu Jackson Mbando akijiandaa na Press conference ya misosi
Human Resources Director ndugu Patric Foya
Wadau
MD na Chief wa Marketing&Sales tete-a-tete
Kijana Habib Mbully kwenye futari ana kwa ana na MD
Wadau upande wa kina mama
Wadau Vicky,Suzy,Lily(Single lady) na Joy
Kama wametoka kuhiji vile
No comments:
Post a Comment