Naitambulisha kwenu JC Records wadau...Studio bomba na ya Kisasa kabisa ambayo imefunguliwa kukata kiu ya Uhunzi wa muziki murua,Audio Books,Matangazo na voice over za aina zote .Karibu sana!Kwa maelezo zaidi cheki ujumbe toka kwa Mdau hapo chini
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
JC-RECORDS
ni studio ya kurekodi na kutengeneza mziki wa aina zote, tunarekodi matangazo
ya biashara (jingles), tunatengeneza vitabu sauti (audio-books).
Studio iko
Tabata segerea, njia ya kuelekea Kinyerezi mkabala na Mid Way Sekondari.
Kwa
mawasiliano: 0712-266865, 0789-333646/784670341.
No comments:
Post a Comment