Baada ya Kufuturisha vituo mbalimbali vya watoto Yatima na wadau wa-TZ hatimaye Airtel ikaandaa futari ya maana kwa wafanyakazi na washirika mbalimbali wanaojituma kila uchao kuleta mabadiliko kwa kuwawezesha waTZ kuwasiliana kwa gharama nafuu isiyomithilika...HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA
Wakati wa kusubiri adhana wadau walipimana nguvu kwenye michezo
Wadau Amitin,Lulu na Nanaa waki-countdown to adhana
Set-up
Naam...Sheikh Yakub in action
Misosi
Menu...
No comments:
Post a Comment