Benno Malisa mwana TYVA mkongwe akiongea na vijana wa sasa wa TYVA
Dada Gloria Victor mwana TYVA wa zamani akishauri vijana wa kike katika kujitambua
Braza Pascal Itangaja a.k.a 50 cent mwana TYVA kingunge akiwasalimia vijana
Joseph Ngoja kiongozi mstaafu wa TYVA akitoa nasaha zake
Emiliana na utambulisho wa wana TYVA wa sasa
Furaha tele
Na mimi nikashiriki katika mashindano ya kucheza karata mchezo wa Last card
Mahesabu makali
Beno kalambishwa majokeri dabo dabo
Kukimbia na kijiko bila kudondosha ndimu..patamu hapo
Baada ya vijana kuchemka nikajitolea kuwaonyesha teknik zangu
TYVA DIgitali...wakati wa soka ulipowadia
TYVA analogia...Jeshi la wakongwe chini ya Kocha Mary 'Nakilo' Mugurusi na Mfadhili wa Timu Gloria Victor
Wapambanaji hadi watoto wa Fatma Ngororo Mhazini na Makamu Mwenyekiti mstaafu walikuwepo kumpa sapoti Mama yao
Siwezi kusahau keki murua namna hii
Michezo motomoto
Penalti tano tano
lalalalaaaaaa gooooooooooooooooooooooo
Kata keeeeekiii tuuuuleeeee
No comments:
Post a Comment