Social & Corporate Events | Documentaries | TV Programs & Movies | Music Videos | Family Portrait

Monday, November 11, 2013

Cuthbert and Merry

Mama Mkwe anameremeta

Usingizi wa Braza Cuthbert...shem Merry

Naam

Twende sasa tukapige pingu za Maisha

Azania Front KKKT

Bro Cuthbert akila kiapo rasmi

Shem Merry nae akajibu mapigo

Kalaaaaa...Put a ring on it..

La Familia...Officially introducing to you Mr&Mrs Cuthbert Rafael

Wanameremeta

Msafara wa heshima

Kaka anahakikishiwa Ulinzi na Mabodigadi wa kike

Wapoooogo...

Yunawatakia Cuthbert na Marry maisha mema kwenye ndo yao.

No comments:

Post a Comment