Mhitimu katika Pozi |
Dadaz Love,huku Veneranda huku Oliver Neema |
Swagg na ma-class mate pale kati |
Msafara wa Wanataaluma-Convocation |
Na heshma zote za kiserikali digrii ikatunukiwa |
Siwa maalum ya kuonyesha Mamlaka ya KItaaluma ya Senate kutunuku Shahada |
Kuvua kofia Ishara ya kupokea Digrii |
Count down to shahada...one...two... |
Kuvaa Kofia ishara ya kupokea Nondoz |
Congratulation Aurelia |
Hureee |
Pongezi na mashada kama kawa |
Keki maalum ya pongezi |
Mkono wa HEKO |
Swaggaliciously |
Pozi la Kisomi zaidi |
Cheers!! |
Kata keeekiii tuuuuleeeee |
Sehemu ya Muhimu kuliko zote kwenye ratiba...Misosiiz |
No comments:
Post a Comment